STEPH CURRY KUKAA NJE KWA MIEZI MITATU BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI
Nyota wa Golden State Warriors Steph Curry amefanyiwa upasuaji wa mkono wake wa kushoto uliovunjika juzi katika mechi dhidi ya Phoenix Suns na sasa anataraji kukaa nje kwa muda wa takribani miezi mitatu. Golden State Warriors kupitia ukurasa wao wa Twitter wameweka taarifa rasmi juu ya mchezaji huyo wakisema kuwa upasuaji wake ambao ulifanyika mjini …