TYSON FURY AMPIGA BRAUN STROWMAN MECHI YAKE YA KWANZA WWE
Aliyekuwa bingwa wa uzito wa juu katika ngumi Tyson Furry ameshinda mechi yake ya kwanza katika WWE aliyopigana dhidi ya Braun Strowman katika tamasha la WWE Ceown Jewel nchini Saudi Arabia. Katika mechi hiyo iliyojaa tambo, kejeli, ubabe na ngumi, Furry aliingia na vazi lake la kanzu uwanjani akiwa katika muonekano wa kiarabu kwa kuvalia …