UNAI BADO YUPO SANA ARSENAL
Baada ya kupoteza mchezo wa jana dhidi ya Leicester City, klabu ya Arsenal sasa imekuwa na mwanzo mbaya zaidi katika kampeni yao kwenye ligi tokea msimu 1982/83. Klabu hiyo tayari ipo nyuma ya vinara wa ligi kwa pointi 14, jambo kinaloonyesha klabu hiyo kuzidi kufanya vibaya tokea aondoke kocha Arsene Wenger. Jambo hili limefanya mashabiki …