HATIMAE MARTIAL KAIONDOA MANCHESTER UNITED KWENYE UKAME WA MIEZI 7
Hatimaye goli la penati la dakika ya 43 la Anthony Martial akiifungia Manchester United katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Partizan Belgrade linarejesha tabasamu kwa mashabiki wa Man United kuona timu yao imeanza kupata matokeo ugenini. Mashabiki wa Man United usiku huo wameshuhudia timu yao ikipata ushindi wa 1-0 ukiwa ndio ushindi wao wa kwanza …