KUMBUKUMBU LEICESTER CITY
Siku kama ya leo mwaka mmoja uliopita, helikopta iliyokuwa imembeba mmiliki wa klabu ya Leicester City na watu wengine wanne ilianguka nje ya uwanja wa King Power Stadium na kupelekea watu wote kupoteza maisha.
Siku kama ya leo mwaka mmoja uliopita, helikopta iliyokuwa imembeba mmiliki wa klabu ya Leicester City na watu wengine wanne ilianguka nje ya uwanja wa King Power Stadium na kupelekea watu wote kupoteza maisha.
Kwenye Kombe la Dunia la Rugby linaloendelea nchini Japan. Timu ya Rugby ya Afrika Kusini maarufu kama Springboks imeingia fainali kwa kuifunga Wales 16 – 19 katika mchezo wa nusu fainali. Springboks watakutana na England katika fainali itakayochezwa Jumamosi huku Wales wakikwaana na New Zealand kuwania nafasi ya tatu siku ya Ijumaa.
Bondia aliyekuwa akiwania ubingwa wa Dunia, Dereck Chisora, 35, maarufu kama ‘War Chisora’ amempiga aliyekuwa mshindi wa medali ya fedha katika Olympic bondia David Prince, 32, kwenye pambano la utangulizi katika ukumbi wa O2 Arena. Ni katika raundi ya tatu Chisora alionesha kumzidi nguvu mpinzani wake na katika raundi ya nne alifanikiwa kumuangusha. Prince alifanikiwa …
Bondia wa Scotland Josh Taylor amefanikiwa kumpiga Regis kwa pointi na kufanikiwa chukua mikanda ya IBF na WBA katika uzani wa Super Lightweight pamoja na kuchukua ubingwa wa World Super Series. Taylor alishinda kwa points 114-114, 115-113, 117-112 toka kwa majaji. Hii inamuacha Mscotland huyu akiwa hajapigwa katika mapambano yake 16 huku likiwa ndio pambano …
Ni katika Mexican Grand Prix ambapo dereva huyu sasa ataanza katika nafasi ya tatu nyuma ya madereva wa Ferrari na mbele ya Max Vertappen wa RedBull aliyepigwa penati ya nafasi tatu na kushuswa mpaka nafasi ya 4 akitokea nafasi ya kwanza. Hamilton mwenye points 338, akifuatiwa na Valtteri Bottas mwenye points 274, anahitaji kumaliza ba …
Akiwa amedhamiria kutafuta ushindi katika mbio za Mexican Grand Prix, hali inaonekana kutokuwa shwari kwa Maxi Verstappen baada ya kupigwa penati ya nafasi tatu na hivyo kuondoka katika ‘pole position’. Sasa Vertappen ataanzia katika nafasi ya nne nyuma ya Charles Leclerc, Sebastian Vettel, Lewis Hamilton na mbele ya dereva mwenza Alexander Albon anayeanzia katika nafasi …
Shirikisho la mchezo wa mpira miguu nchini Hispania (RFEF) baada ya kukaa limepitisha tarehe mpya ya mchezo wa El Clasico wa FC Barcelona dhidi ya Real Madrid uliyokuwa awali uchezwe Oktoba 26 Nou Camp lakini ukaahirishwa kutokana na machafuko ya kisiasa Catalunya. RFEF kwa kushirikiana na kamati ya mashindano wametangaza sasa mchezo wa kwanza wa …
Mshambuliaji wa Kinyarwanda Meddie Kagere anayekipiga Simba SC licha ya baadhi ya watu kumtania na kusema ana umri mkubwa lakini ameendeleza balaa uwanjani kwa kuwa anafunga karibia kila mchezo. Kagere akiichezea Simba SC katika mchezo dhidi ya Azam FC walioshinda 1-0 kwa goli lake pekee la dakika ya 49, hilo linakuwa ni goli lake la …