MO DEWJI KAUKUMBUKA MCHANGO WA MAGORI SIMBA SC
Bilionea na Mwekezaji wa Simba SC MO Dewji ameonekana kuukumbuka mchango wa Crescentius Magori licha ya kumaliza muda wake kama CEO wa Simba SC na kukaa pembeni. Oktoba 24 2019 Mo Dewji kupitia ukurasa wake rasmi wa instagram amemtangaza rasmi Magori kuwa ndiye mshauri wake katika mambo yake ya soka wakati huu MO Dewji akiwa …