VAR IMEIKATILI DHAMIRA YA WATANZANIA DHIDI YA LIVERPOOL
Mbwana Samatta sasa anastahili kupata heshima zote katika soka Tanzania, haya ni mawazo ya baadhi ya watanzania kupitia mitandao ya kijamii wakati Samatta akiwa nahodha wa KRC Genk katika mchezo wa kihistoria dhidi ya Liverpool. Mchezo huo unakuwa wa kihistoria kwa Tanzania kutokana na kudaiwa kuwa ndio mchezo wa kwanza wa Samatta kuwahi kufuatiliwa zaidi …