DENIS ONYANGO AENDA KUMZIKA BABA YAKE, HUENDA AKAWAKOSA KAIZER CHIEFS
Klabu ya Mamelod Sundowns huenda ikamkosa kipa wao Denis Onyango katika mchezo mgumu ligo dhidi ya Kaizer Chiefs Jumapili hii kufuatia kumruhusu kipa huyo kwenda nyumbani kwao Uganda kujumuika na familia kwa maziko ya baba yake mzazi. Mzee Gabriel Onyango ambaye ni baba mzazi wa kipa huyo amefariki kwa kansa, hivyo Onyango amebidi aruhusiwe kurudi …