MAN UNITED HII NDIO TIMU MBOVU ZAIDI,ASEMA OWEN
Nyota wa zamani wa Man United Michael Owen amesema kuwa anaamini kuwa sasa timu hiyo ni timu ya katikati (Mid-table team). Owen akizungumza katika kituo cha BT Sport jana baada ya Man United kutoka sare ya 0-0 ugenini dhidi ya AZ Alkmaar, amesema haioni timu hiyo ikimaliza katika nafasi sita za juu katika ligi kuu …