WAMBURA KAKUBALI YAISHE KAANDIKA BARUA YA DPP
Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR John Pombe Magufuli kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Maashtaka nchini (DPP) kuwa kwa wale watuhumiwa wa makosa ya uhujumu uchumi watakaokuwa tayari kukiri kosa na kurejesha fedha basi wasamehewe, jana Oktoba 2 aliyekuwa makamu wa Rais wa TFF Michael Richard Wambura ameiambia Mahakama ya Hakimu …