WILDER KUTETEA UBINGWA WAKE DHIDI YA LUIS ORTIZ NOVEMBA 23
Bondia Mmarekani Deontay Wilder, 33, anayeshikilia ubingwa wa WBC tokea mwaka 2015, atapigana na Mcuba Luis Ortiz Novemba 23 mwaka huu Las Vegas kutetea taji hilo. Wilder ana rekodi ya kushinda mapambano 41, kutoa sare 1 akiwa hajapoteza lolote na pambano la mwisho baina yake na Ortiz liliisha kwa Wilder kushinda kwa Knock Out jijini …