HAKUNA MAREFU YASIO NA NCHA,UBABE WA WARRIORS UMEFIKA UKINGONI
Waswahili wanasema hakuna marefu yasio na ncha, huku wazungu wakiwa na msemo wao wakisema “All good things must come to an end”, wakimaanisha kuwa vitu vyote vizuri lazima viishe. Baada ya kutawala ligi ya NBA kwa muda mrefu, wakienda fainali za ligi hiyo tangu mwaka 2015 mpaka mwaka huu 2019, Golden State Warriors sasa wanaonekana …