CHARLES LECLERC AWABWAGWA HAMILTON NA BOTTAS ITALIAN GRAND PRIX
Dereva Charles Leclerc ameshinda mbio za Italian Grand Prix na kujiandikishia ushindi wake wa pili mfululizo na wa kwanza kwa timu ya Ferrari katika mbio za Italian Grand Prix tokea mwaka 2010 aliposhinda Fernando Alonso. Leclerc aliweza weka juhudi na kufanikiwa kulinda nafasi yake dhidi ya madereva wa Mercedes Hamilton na Bottas waliokuwa nyuma yake. …