RICCIARDO: BADO NIPO SANA RENAULT
Dereva wa timu ya Renault amesema kamwe hajutii uamuzi wake wa kuondoka RedBull na kujiunga na timu hiyo kwani alifanya uamuzi huo kwa kudhamiria na sio kwenda kukaa katika timu kwa muda na kuondoka bali kufanya jambo kwa mafanikio na malengo. Dereva huyo Muaustralia bingwa mbio mara 7 alijiunga timu hiyo kwa mkataba wa miaka …