HAMILTON ASHINDA RUSSIAN GP, UKAIDI WAMPONZA SEBASTIAN VETTEL
Lewis Hamilton amefanikiwa kushinda mbio za Russian Grand Prix baada ya mgogoro baina ya madereva Sebastian Vettel, Charles Leclerc na uongozi wa timu ya Ferrari. Hamilton amefuatiwa na dereva mwenza Veltteri Bottas katika nafasi ya pili, Charles Leclerc aliyeanza katika nafasi ya kwanza ‘pole position’ akimaliza katika nafasi ya tatu. Nafasi ya nne imechukuliwa na …