FIFA INAFIKIRIA KUBADILI KANUNI ZA USAJILI
Shirikisho la mchezo wa miguu duniani FIFA linaripotiwa kuwa katika mpango wa kubadili kanuni za usajili wa wachezaji ikiwemo wanaokwenda kwa mkopo na pia kuhusu mawakala Mabadiliko mapya yanalenga kwenda kupunguza kiwango cha pesa (commision) wanachopata mawakala dili la mteja wao (mchezaji) linapokamilika lakini sambamba na kuweka idadi ya wachezaji wanaopaswa kutolewa kwa mkopo kwa …