JURGEN KLOPP AINGIA TAASISI YA JUAN MATA KWA KISHINDO
“Ninatangaza kwamba kuanzia leo na kuendelea mimi ni memba wa familia ya Common goal” hayo ni maneno ya kocha wa Liverpool Jurgen Klopp jana mjini Milan baada ya kukabidhiwa tuzo ya FIFA ya kocha bora wa kiume wa mwaka 2019. Common Goal ni taasisi ya misaada iliyoanzishwa na kiungo wa Man United Juan Mata Agosti …