MAN UNITED YAMSIKITISHA JOSE MOURINHO
Kocha Jose Mourinho amesema timu ya Man United ya sasa ni mbovu zaidi ya ile ya msimu uliopita. Jose amesema hayo jana wakati anachambua mechi ya West Ham na Man United katika studio za Sky Sports. Jose alipoulizwa kama United wataweza kuzifikia timu mbili za juu katika ligi, alijibu “ Wapo mbali. Mimi si mtu …