SEBASTIAN VETTEL NA FERRARI WAWASHANGAZA MERCEDESE SINGAPORE GRAND PRIX
Siku 392 ndizo alizokaa bingwa wa dunia mara 4 Sebastian Vettel wa timu ya Ferrari bila ya kushinda mbio zozote ukiwa ni muda mrefu zaidi kwake bila ushindi huku akionekana kuishi katika kivuli cha dereva mwenza Charles Leclerc ambaye wengi walitegemea awe chini yake ila amekuwa akifanya vyema zaidi kuliko ilivyotegemewa akishinda mbio mbili mfululizo …