CHARLES LECLERC KUANZA KATIKA ‘POLE POSITION’ SINGAPORE GRAND PRIX
Dereva wa Ferrari Charles Leclerc, 21, amefanikiwa kuongoza katika mbio za kufuzu Singapore Grand Prix hivyo ataanza katika nafasi ya kwanza hapo kesho. Dereva huyo amemaliza mbele ya Lewis Hamilton kwa sekunde 0.191 na dereva mwenza Sebastia Vettle kwa sekunde 0.2 huku Max Verstappen wa Redbull akimaliza katika nafasi ya nne mbele ya dereva mwenza …