IRAN YAFUNGIWA SHIRIKI MCHEZO WA JUDO BAADA YA KUMSHINIKIZA MCHEZAJI KUPOTEZA MECHI
Kukiwa na katazo la mwanamichezo yeyote wa Iran kutoshindana na dhidi ya wale kutoka Israel, aliyekuwa bingwa ntetezi wa mchezo wa judo Saeid Mollaei alipoteza mchezo wake wa nusu fainali dhidi ya Khasan Khalmurzaev ili kukwepa kutana na Muisraeli Sagi Muki likiwa ni shinikizo toka nchini kwake. Saeid amekuwa akiishi nchi Ujerumani kuanzi apoteze mchezo …