ALEX MORGAN ASEMA HAMUOGOPI CRISTIANO RONALDO
Mshindi wa kombe la Dunia Mmarekani Alex Morgan ameweka wazi kuwa hahofii kukutana na nyota wa Juventus Cristiano Ronaldo katika tuzo za FIFA Septemba 23, Milan licha ya kumkosoa staa huyo wa Ureno siku za nyuma. Kupitia akaunti yake ya twitter, Alex Morgan aliweka makala maalum yenye kichwa cha habari ‘Ronaldo ni Icon wa rushwa …