TANZANIA YAFUZU HATUA YA MAKUNDI SAFARI YA QATAR 2022
Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania imefanikiwa kuingia katika hatua ya makundi ya kufuzu michuano ya kombe la Dunia 2022 Qatar baada ya kuitoa Burundi kwenye raundi ya awali. Tanzania imeshinda mchezo huo kwa Penati 3-0 baada ya sare ya 1-1 katika dakika 120 ndani ya dimba la uwanja wa Taifa. Tanzania ndio ilikuwa …