YANGA WAPELEKA PINGAMIZI LA KUFUNGIWA KWA ZAHERA WIZARA YA MICHEZO
Zikiwa zimepita siku tatu tangu bodi ya ligi kuu Tanzania bara itangaze kumfungia mechi tatu kocha wa Yanga Mwinyi Zahera kwa kosa la kutoa shutuma na kejeli kwa bodi hiyo baada ya mechi yao dhidi ya Ruvu Shooting,leo uongozi wa timu hiyo umetangaza kupeleka malalamiko kwa wizara ya michezo kupinga maamuzi hayo. Yanga kupitia Makamu …