NADAL ATINGA NUSU FAINALI US OPEN 2019
Michuano ya US Open ikiendelea shika kasi katika viunga vya Flushing Meadows, mchezaji namba 2 kwa ubora duniani Rafael Nadal amefanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali baada ya kumfunga Diego Schwartzman kwa seti 6-4, 7-5, 6-2 katika mchezo wa robo fainali. Nadal sasa atakutana na Muitalia Matteo Berrettini aliyefuzu hatua ya nusu fainali kwa …