SERENA WILLIAMS AENDELEA PAMBANA KUIFIKIA REKODI YA MARGARET COURT
Katika mechi iliyoisha kwa ushimdi wa seti 6-3, 6-4 dhidi ya Petra Martic aliyepo katika nafasi ya 22 kwa ubora, Serena Williams, 37, alihitaji uangalizi wa matibabu katikati ya mechi ili kuweza maliza mechi hiyo baada ya kupata maumivi katika mguu. Bingwa huyo mara 6 sasa atakutana na Mchina aliyepo katika nafasi ya 18 kwa …