OSAKA AKOSHA MIOYO YA WATU AKIMPELEKA COCO GAUFF NYUMBANI
Kuanzia Kobe Bryant, Nicole Gibbs, Katie Boulter hadi Bellie Jean King na wapenda tenis wengine walishindwa kuficha hisia zao juu ya Naomi Osaka baada ya mechi yake ya ushindi wa 6-3, 6-0 dhidi ya kinda Coco Gauff na kumtoa katika mashindano ya US Open huku yeye akiendelea mbele raundi ya 4. Punde baada ya ushindi …