KIKEKE WA BBC ALAMBA DILI SIMBA SC
Mtangazaji kinara raia wa Tanzania, Salim Kikeke wa shirika la utangazaji la Uingereza BBC ameteuliwa na bodi ya wakurugenzi ya Klabu ya Simba kuwa balozi wa timu hiyo katika mji wa London nchini Uingereza. Kupitia ukurasa klabu hiyo katika mtandao wa Instagram, Kikeke ameonekana akikabidhiwa jezi ya Simba na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi, Mohammed …