Cancelo atua City, Danilo Turin
Manchester City imemsajili beki wa kulia Mreno Joao Cancelo kutoka Juventus ada ya Pauni Milioni 60. Wakati huohuo beki wa kulia Danilo,28, ameoondoka Man City na kujiunga Juventus kwa ada ya Pauni Milioni 34.1, ambapo ni moja ya sehemu ya dili la Cancelo kwenda City. Cancelo,25, amesaini mkataba wa miaka sita City ambao huo ni …