REDBULL KUMBAKIZA PIERRE
Pamoja na dereva Pierre Gasly kutokuonyesha kiwango kizuri kilichotarajiwa na timu yake, Boss wa timu ya RedBull Christian Horner ameibuka na kudai bado wanamuhitaji dereva huyo. Aliongeza na kusema “Ni muhimu kwetu kuwadaka Ferrari na kufanikiwa katika hilo tunahitaji Gasly afanikiwe kumaliza mbele zaidi sababu bila magari yote mawili kumaliza katika nafasi za juu inatuumiza.” …