TYSON FURY VS OTTO WALLIN KUPIGWA SEPTEMBA 14 VEGAS
Baada ya pambano la Tyson Fury dhidi Otto Wallin kuthibitishwa kufanyika tarehe 14 Septemba katika ukumbi wa T-Mobile Arena, Las Vegas, bondia Msweden Otto Walllin amekiri kuwa ni ‘underdog’ katika pambano hilo. “Ninajua mimi ndio ‘underdog’ katika pambano hili ila nimejiandaa kwa nafasi hii na nimeipokea kwa mikono miwili. Yeyote anaweza kupigwa hasa katika uzito …