HAZARD KUIKOSA CELTA VIGO
Klabu ya Real Madrid wamethibitisha nyota wao Eden Hazard atakosa mchezo wa kesho dhidi ya Celta Vigo kufuatia kupata maumivu ya nyama za paja akiwa mazeozini. Imeripotiwa kuwa maumivu hayo yanaweza kumuweka nje ya uwanja kwa muda wa wiki tatu. Real Madrid wameeleza kuwa Mbelgiji huyo atafanyiwa vipimo zaidi kabla ya kupewa programu maalumu ya …