UONGOZI WA LIGI KUU NCHINI ENGLAND WAKATAA KUWAONGEZEA CITY MEDALI
Ombi la Man City kuongezewa medali za ubingwa wa ligi kuu msimu uliopita limekataliwa. Man City walipewa jumla ya medali 40 baada ya kushinda kombe la ligi kuu msimu jana kwa ajili ya wachezaji wote waliocheza mechi zaidi ya tano, meneja wao pamoja na benchi la ufundi, lakini klabu hiyo ilituma maombi ya kuongezewa medali …