FC BARCELONA HAWAJAKATA TAMAA WANAKOMAA NA NEYMAR
Baada ya kikao cha takribani saa nne kati ya FC Barcelona na uongozi wa klabu ya Paris Saint Germain kuhusu usajili wa Neymar, FC Barcelona wametenga dau jipya tena mezani. Mtandao wa daily mail umeripoti kuwa Barcelona sasa wameweka mezani ofa ya Pauni milioni 153 baada ya kukaa kikao hicho jijini Paris ili kumsajili Mbrazil …