FIFA INAFIKIRIA KUWAONDOA WASHIKA VIBENDERA NA KUWAWEKA MAROBOTI
Shirikisho la mchezo wa mpira wa miguu duniani FIFA limeripotiwa kuwa kwa sasa linafikiria uwezekano wa kuwaondoa washika vibendera katika mechi (linesmen) na nafasi zao kuchukuliwa na maroboti. Mtandao wa Mirror wa nchini England unaeleza kuwa hadi sasa FIFA wana kitengo maalum kinachofanya uchunguzi na kushughulikia kwa undani zaidi kama wanaweza kuwaondoa washika vibendera na …