ARSENAL WALISHAFUNGWA KWENYE REKODI YA BIG SIX, LIVERPOOL WAMEKAMILISHA TU!!
Mchezo wa Arsenal dhidi ya Liverpool katika dimba la Anfield ulichezwa huku wengi wakiwa na shauku ya kutaka kufahamu ni timu ipi itakuwa mbabe wa mwenzake katika Ligi Kuu England wakati huu ikiwa mbichi. Arsenal kaendelea kuwa mteja wa vilabu vya Big Six akicheza ugenini baada ya Liverpool kuwaadhibu kwa mabao 3-1, mabao yakiwekwa wavuni …