KOMPANY AANZA KUPONDWA NA WACHAMBUZI
Mchezaji zamani wa timu ya taifa ya Ubelgiji na klabu ya Anderletch ya nchini humo Marc Degryse ameamua kumkosoa Vincent Kompany aliyejiunga na timu hiyo msimu huu 2019/20 kama kocha mchezaji baada ya kuondoka Man City. Kompany amekoselewa vikali baada ya Anderletch kupata pointi mbili katika mechi nne za kwanza za ligi msimu huu, wakishika …