RONALDO ATOA THAMANI YAKE KWA SOKO LA USAJILI LA SASA
Cristiano Ronaldo anaamini katika umri wa miaka 25, angekuwa na thamani ya euro milioni 300 kwa soko la usajili la sasa. Nyota huyo wa Juventus alijiunga na timu hiyo kwa ada ya euro milioni 112 kutoka Real Madrid majira ya kiangazi mwaka jana. Ronado amesema kuwa soka la mpira la sasa limekuwa ni tofauti, na …