KUMBE ARSENAL NDIO WALISABABISHA VAN PERSIE AKAWAHAMA
Usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Robin van Persie kujiunga na Manchester United uliwashitua watu kutokana na wengi wao kuamini nyota huyo hawezi kuhamia timu pinzani ya Arsenal na kama angehama basi ingekuwa nje ya England. Baada ya Robin van Persie ,36, kujiunga na Manchester United 2012 , uhamisho huo uliwakwaza mashabiki wa Arsenal …