ROGER FEDERER ATOLEWA NA ANDREY RUBLEV
Katika mashindano ya Cincinnati Masters, bingwa wa mashindano haya mara 7 Roger Federer ametolewa na kinda Andrey Rublev kwa seti mfululizo 6 – 3, 6 -4. Ikiwa ni ushindi wake mkubwa Rublev aliyepo katika nafasi ya 70 hakusita elezea hisia zake juu ya gwiji huyu akisema “Naimani siku moja nitajihisi kama Roger. Kucheza na watu …