RIVALDO AMKINGIA KIFUA NEYMAR JR
Nyota wa zamani wa Barcelona Rivaldo amesema hafikirii kama Neymar akijiunga na Real Madrid itamfanya awe msaliti kwa timu yake ya zamani. Neymar ambaye ameondoka Barcelona mwaka 2017 na kujiunga na PSG, anaripotiwa kutaka kuwahama matajiri hao wa Paris katika majira haya ya kiangazi na kuna uwezekano wa kurudi Barcelona au kwenda Real Madrid. . …