PORTO NA CELTIC ZATUPWA NJE UEFA AJAX IKIPONA
Mabingwa wa UEFA 2004 klabu ya FC Porto wametupwa nje ya michuano ya UEFA kwa goli la ugenini baada ya mechi yao ya pili ya raundi ya tatu ya kufuzu UEFA dhidi ya FC Krasnodar ya Russia kuisha kwa kufungwa goli 2 – 3 na matokeo kuwa jumla ya goli 3 – 3. Ajax pamoja …