MARCELO HAJAWAHI KUFIKIRIA KUWA ATAVAA JEZI YA JUVENTUS
Beki wa Real Madrid Marcelo ,31, ameweka wazi kuwa alipokea ofa kutoka klabu za Ligi Kuu ya Italia lakini aliamua kuzipiga chini na kuendelea na maisha yake ndani ya Real Madrid licha ya kuanza katika mechi 21 tu za LaLiga msimu uliopita dhidi ya Sergio Reguilon. Kabla ya ujio wa Zidane kama kocha wa Real …