ANDY RUIZ JR ‘CHIBONGE’ KAGOMA KUSAINI ANATAKA DAU LIONGEZWE AMRUDIE ANTHONY JOSHUA
Moja kati ya mapambano yanayotazamiwa kuwa na mvuto mkubwa ni pambano la marudiano kati ya bondia Mmexico Andy Ruiz Jr na Bondia Muingereza Anthony Joshua. Bondia Andy Ruiz tayari alishakubali kulipwa Pauni Milioni 8 katika pambano hilo la marudiano, makubaliano yalifanya kabla ya hata pambano la kwanza kufanyika ambapo Mmexico huyo aliushangaza Ulimwengu kwa kumpiga …