August 9, 2019 / Football Lukaku apewa jezi ya Icardi Romelu Lukaku amepewa jezi namba 9 katika klabu ya Inter Milan. Jezi hiyo ilikuwa ikivaliwa na mshambuliaji Mauro Icardi ambaye inter Milan wanampango wa kumuuza.