Maguire azidi kufata nyayo za Rio
Mwaka 2002 Muingereza Rio Ferdinand alijiunga na Man United kutoka Leeds na kuwa beki ghali zaidi Duniani. Alivyofika Man United akapewa jezi namba 5.
Mwaka 2019 Muingereza Harry Maguire amejiunga na Man United akitokea Leicester City na kuwa beki ghali zaidi duniani. Na yeye pia amepewa jezi namba 5 Man United