F1 KUENDELEA WEEKEND HII HUKU VALTTERI BOTTAS AKIBAKIZWA MERCEDES MSIMU 2020
Baada ya mapumziko mbio za F1 zinaendelea weekend hii sasa ikiwa ni Belgium Grand Prix dereva Lewis Hamilton akienda na uongozi wa point 62 mbele ya Bottas na ukiwa ni mwaka mmoja tokea Sebastian Vettel wa Ferrari kushinda mbio. Bottas anaingia katika mbio hizi akiwa tayari amekamilisha makubaliano ya mkataba kubakia Mercedes mwaka 2020 na …