Nadal na Federer wakutana baada ya miaka 12
Magwiji wawili wa mchezo wa tenesi Roger Federer na Rafa Nadal wanataraji kukutana katika michuano ya Wimbledon kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2008 baada ya wote kufuzu hatua ya nusu fainali. Federer anafika hatua hii baada ya kumtoa Kei Nishikori kwa seti 4-6, 6-1, 6-4, 6-4 huku Nadal akifika hatua hiyo kwa kumfunga Sam …