PSG yamnasa Gueye
PSG imemsajili kiungo Msenegal Idrissa Gana Gueye kutoka Everton kwa mkataba wa miaka minnee kwa ada inayoripotiwa kuwa Pauni Milioni 30.