Rodgers hana presha na Man United
Klabu ya Manchester United moja kati ya nafasi inazodaiwa kukusudia kuziimarisha kabla ya kuanza kwa msimu huu ni pamoja na nafasi ya beki wa kati licha ya kukutana na vizuizi. Kwa sasa Manchester United inahusishwa kwa karibu kutaka huduma ya beki wa Leicester City Harry Maguire ila wanashindwa kufikia dau la karibia Pauni milioni 80 …